Wakaazi wa mtaa wa Rapta Road ilioko Kileleshwa wataka ujenzi udhibitiwe

  • | Citizen TV
    663 views

    Wakazi wa eneo la Rapta mtaani Kileleshwa hapa Nairobi wameitaka serikali ya kaunti kuwa na uwazi katika mipango ya ujenzi wa majengo ya ghorofa nyingi katika eneo hilo.