Wakaazi wa mtaa wa Woodley walalamikia kuhangaishwa na maafisa wa serikali ya kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    848 views

    Wakazi Wa Mtaa Wa Woodley Jijini Nairobi Wamelalamikia Kuhangaishwa Na Maafisa Wa Serikali Ya Kaunti Ya Nairobi, Ambao Wanasema Wamekaidi Maagizo Ya Mahakama Na Kuwafurusha. Wakazi Kumi Wamefurushwa Kwa Mara Ya Pili Sasa Katika Mtaa Huo. Na Kama Anavyoarifu Gatete Njoroge Na Kama Anavyoarifu Gatete Njoroge, Serikali Ya Kaunti Imekuwa Ikiendeleza Operesheni Ya Kudai Deni La Shilingi Bilioni Hamsini Kutoka Kwa Wapangaji Wake Kwa Wiki Mbili Sasa.