Wakaazi wa Muhuru wataka barabara kuu kuwekwa lami

  • | Citizen TV
    152 views

    Wakaazi wa Muhuru katika Kaunti Ndogo ya Nyatike wanataka serikali kuweka lami na kukamilisha ujenzi wa barabara kuu kutoka Masara hadi Muhuru ambayo imekuwa katika hali mbaya kwa miaka kumi.