Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Mumias wahofia Uchumi kudhoofika

  • | Citizen TV
    108 views
    Duration: 2:01
    Huku rais Ruto akizuru mkoa wa magharibi kwa ziara ya maendeleo, wakazi pamoja na wafanyabiashara mjini mumias kaunti ya kakamega wamejitokeza na kumuomba rais Ruto kuzindua chuo kikuu katika mji huo ili kuinua uchumi ambao wanasema kuwa umezorota sana.