Wakaazi wa Murang'a wamsuta vikali Betty maina kuanzisha cheche za maneno na naibu rais Gachagua

  • | NTV Video
    4,243 views

    Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Murang'a wamemsuta vikali mwakilishi wa wanawake Betty maina kwa madai ya kuanzisha cheche za maneno dhidi ya naibu rais Rigathi Gachagua . Wakaazi hao wamemshtumu vikali Maina kwa kupanga njama ya uchokozi kwa naibu rais hatua ambayo wanasema itazuiliwa kwa njia zote ,huku wakidai kua Maina anashawishiwa na wahusika wengine wa kisiasa kuchafua jina la Gachagua mlimani. Isitoshe mbunge huyo amejiingiza katika vita na naibu rais vya kuonyesha nani mbabe katika uongozi wa sasa huku wakitazamia uchaguzi wa mwaka 2027. Jambo hili limejiri wakati ambapo Gachagua anazidi kupoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabungemhaswa wa mlimani ingawa wenyeji wa mlima wanasema wanamuunga mkono

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya