Wakaazi wa Mwangaza na Mwazunguka kufurushwa

  • | Citizen TV
    552 views

    Huenda zaidi ya wakaazi elfu nne wakalazimika kuhamishwa kwa lazima kutoka vijiji viwili vya eneo la Portreiz kaunti ya Mombasa baada ya kuagizwa kuhama na kampuni ya kusafirisha mafuta. Hata hivyo, wakaazi hawa wanalalamikia ubaguzi katika kuondolewa kwao, wakidai njama fiche kwenye zoezi hili.