Wakaazi wa Nakuru waonyesha upendo kwa kutoa damu kuwasaidia walio hospitalini

  • | Citizen TV
    Madhimisho ya siku ya wapendanao yakifanyika hii leo, katika kaunti ya Nakuru. Wakaazi wameonyesha upendo wao kwa njia ya kipekee kwa wale walio hosipitalini na wanahitaji msaada wa damu.