Wakaazi wa Nandi waanzisha mpango wa kuchangisha fedha za mifugo kudhabiti pombe haramu na wizi

  • | Citizen TV
    463 views

    Wakazi wa Kereri kwenye wadi ya Kabwareng eneo bunge la Aldai kaunti ya Nandi wameanzisha mpango wa kuchangisha fedha ili kuwanunulia wakazi mifugo kama njia moja ya kupunguza wizi wa mifugo,ulevi na hata umaskini ambao ulikuwa umekidhiri eneo hilo.