Wakaazi wa Nandi wataka masharti ya kutoa mikopo yalegezwe

  • | Citizen TV
    189 views

    Mashirika na taasisi zinazotoa mkopo ama msaada wa kifedha kwa vikundi tofauti tofauti vikiwemo vile vya vijana, kina mama na watu wanaoishi na ulemavu yametakiwa kulegeza baadhi ya masharti ili kuwezesha vikundi kunufaika zaidi .