Wakaazi wa Narok wapinga ujenzi wa kambi ya watalii

  • | Citizen TV
    229 views

    Serikali imeimarisha usalama katika hifadhi ya wanyamapori ya Mara-Lemek huko Narok magharibi kufuatia sintofahamu kati ya makundi mawili kuhusu uhalali wa ujenzi wa kambi ya kibinafsi ya kitalii.