Wakaazi wa Ngecha,Kiambu waandamana kwa kukosa umeme

  • | Citizen TV
    266 views

    Wakaazi pamoja wafanyibiashara wa eneo la Kabuku wadi ya Ngecha, Limuru, kaunti ya Kiambu, wamefanya maandamano kulalimikia ukosefu wa nguvu za umeme kwa miezi miwili sasa.