Wakaazi wa Ngomeni Magarini kaunti ya Kilifi wasafisha fuo

  • | Citizen TV
    144 views

    Ukosefu wa mpangilio maalum wa kusafisha ufuo wa bahari eneo la Ngomeni magarini kaunti ya Kilifi umefanya maeneo hayo kuwa na takataka nyingi kiasi cha kuwaathiri viumbe vya baharini.