Wakaazi wa Nyahururu walalamikia kuongezwa kwa ada ya huduma za maji

  • | Citizen TV
    60 views

    Wakazi kutoka mji wa Nyahururu na maeneo yaliyo karibu wamelalama kuhusu kuongezeka kwa gaharama ya huduma za maji baada ya Kampuni ya Nyahuwasco kuongeza ada ya maji maradufu. Ongezeko hilo, ambalo lilianza kutekelezwa tarehe moja Mei, limesababisha ghadhabu kutoka wakaazi ambao wanapinga hatua hii.