Wakaazi wa Nyamira watakiwa kujitokeza kusajiliwa katika mpango wa Inua Jamii

  • | Citizen TV
    211 views

    Wenyeji wa kaunti ya Nyamira wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili katika mpango wa INUA JAMII, baada ya serikali kuongeza wiki mbili zaidi za usajili.