Wakaazi wa Nyandarua walalamikia kuchelewa kwa ukarabati wa barabara ya Charagita

  • | Citizen TV
    1,464 views

    Shughli za usafiri zimetatatizika kwa saa kadhaa hii leo katika barabara ya Charagita kuelekea Boiman na Oljororok kuekelekea Dundori huko Nyandarua.