Wakaazi wa Othoro eneo la Uriri walalamikia huduma duni za afya katika hospitali ndogo ya Othoro

  • | Citizen TV
    132 views

    Wakaazi wa Othoro kaunti ndogo ya Uriri wanalalamikia huduma duni za afya katika hospitali ndogo ya Othoro wakiitaka serikali ya kaunti ya Migori kuboresha huduma za afya.