Wakaazi wa Pokot West wataka ushirikiano na wizara ya afya kufanyia utafiti dawa za miti shamba

  • | Citizen TV
    419 views

    Idara ya afya imetakiwa kushirikiana na matabibu wa miti shamba ili kuvumbua dawa za kiasili katika kaunti ya pokot magharibi. Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo ambao bado wanaenzi dawa hizo hizo