Wakaazi wa Ramba, eneo bunge la Rarieda wamefanya maandamano kufuatia machimbo ya utata

  • | Citizen TV
    449 views

    Mamia ya wakaazi kutoka Ramba eneo bunge la Rarieda kaunti ya siaya wamefanya maandamano kulalamikia mauaji ya watu wanne na kujeruhiwa kwa wengine kadhaa kutokana na shughuli za uchimbaji dhahabu katika mojawapo ya machimbo.