Wakaazi wa Riting hawana stima licha ya kuishi karibu na kituo cha kuzalisha nguvu za umeme

  • | Citizen TV
    224 views

    Kijiji cha kipekee kilicho karibu na kituo cha kuzalisha nguvu za umeme cha Turkwel hakina umeme, zaidi ya miaka 30 baada ya shughuli kuanza katika kituo hicho. Wakaazi wa kijiji cha Riting sasa wakitaka serikali kuwakumbuka angalau wafaidi kutokana na umeme kutoa kituo hicho kilichoko eneo la West Pokot.