Wakaazi wa Samburu wataka mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2025/2026 kutiliwa manani

  • | Citizen TV
    77 views

    Kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa imeendesha vikao vya kukusanya maoni kuhusu makadirio ya bajeti ya mwaka 2025/2026 katika kaunti ya Samburu. Wakazi wametoa wito Kwa mapendekezo ya wakenya kutiliwa maanani badala ya kuyapuuza kama iliyoshuhudiwa mwaka Jana na kuwashinikiza vijana wa Gen Z kuandamana. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.