Wakaazi wa Samburu watakiwa kufanikisha unyunyizaji maji shambani ili kuafikia utoshelevu wa chakula

  • | Citizen TV
    238 views

    Wakazi wa Lolkuniyani Samburu Mashariki, wamehimizwa kutumia mradi wa maji uliozinduliwa eneo hilo na shirika la USAID kwa ushirikiano na serikali ya kaunti kufanikisha kilimo Cha unyunyuziaji maji mashamba ili kuafikia utoshelevu wa chakula