Wakaazi wa Songoliet, Emgwen walalamikia usalama duni eneo hilo

  • | Citizen TV
    243 views

    Wakazi wa Songoliet ,eneo bunge la Emgwen katika kunti ya Nandi, wameandamana kulalamikia visa vya ukosefu wa usalama.Hii ni kufuatia uvamizi wa mara kwa mara na genge la watu wasiojulikana ambalo limesababisha maafa ,wizi wa mifugo, na kuteketezwa kwa mali.