Wakaazi wa Taita Taveta wapata afueni ya huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    535 views

    Wakazi wa maeneo ya vijijini kaunti ya taita taveta wamepata afueni ya huduma za afya kupelekwa karibu nao, miaka kumi baada ya huduma hizo kugatuliwa. Afueni hiyo imetokana na kujengwa kwa 7 kwenye vijiji ambapo wenyeji wamekua wakilazimika kusafiri mwendo mrefu kutafuta huduma za Afya.