Wakaazi wa Tamioyi, Samburu walalamikia mavamizi ya ndovu

  • | Citizen TV
    0 views

    Mtu mmoja ameuwawa na ndovu baada ya kuvamiwa katika kijiji cha Tamioyi eneobunge la Samburu magharibi. Tukio hili likisababisha maandamano kutoka kwa wakaazi hii leo, wakilalamikia shirika la huduma kwa wanayama pori kwa kutochukua hatua licha ya malalamishi ya mara kwa mara. Bonface Barasa anaarifu kutoka Samburu.