Wakaazi wa Tana River wamekaa siku 10 bila huduma za umeme nchini

  • | Citizen TV
    265 views

    Kwa siku ya kumi sasa, shughuli za biashara na hata hospitali zimeendelea kutatizika katika eneo la Bangale kaunti ya Tana River. Hali hii sasa ikiwaweza hatarini wagonjwa wanaotumia dawa zinazostahili kuwekwa kwenye jokofu kwa uhaba wa umeme.