Wakazi wa kijiji cha Cheptonon, Kwenye Eneo bunge la Tinderet Kaunti ya Nandi, wametishia kujiunga na upinzani iwapo serikali itashindwa kushughulikia kero zao za muda mrefu kuhusu miundombinu duni na ukosefu wa huduma muhimu Mashinani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya