Wakaazi wa Uasin Gishu wakongamana kusherehekea tamaduni pamoja na Shujaa wao, Koitalel Arap Samoei

  • | K24 Video
    Wakaazi wa Uasin Gishu walikongamana katika makavazi ya koitalel Arap Samoei, aliye tambulika kama shujaa mingoni mwa Jamii ya wa Nandi kusheherekea tamaduni zao na ushujaa wa kiongozi huyo.