Wakaazi wa Ukanda wa Gaza wamejipanga kwenye vituo vya petrol na gesi huku kukiwa na sitisho la vita

  • | VOA Swahili
    185 views
    Wakaazi wa Ukanda wa Gaza wamejipanga kwenye vituo vya petrol na gesi huku kukiwa na sitisho la vita kati ya Isreal na Hamas ambalo limeingia siku ya sita. Wakati mzozo unaendelea, Israel ilizuia uingizaji mafuta kwenda Gaza, ikidai huenda yakatumiwa kwa malengo ya kijeshi na Kundi la Hamas .