Wakaazi wa wadi ya Oloolua wataka kuhusishwa kwenye ujenzi wa reli

  • | Citizen TV
    308 views

    Wakaazi wa wadi ya Oloolua katika eneo bunge la Kajiado kaskazini wamefanya kikao na wasimamizi wa Shirika la reli - Kenya Railways- kujadili ujenzi wa reli ya MGR iliyozinduliwa miezi kadhaa iliyopita na Rais William Ruto.