Wakaazi wa wodi tatu kaunti ya Trans Nzoia walalamikia kudorora kwa usalama

  • | Citizen TV
    168 views

    Viongozi na wananchi katika wadi tatu za Sinyereri, Makutano na Cherang'any Suwerwa Kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia kudoroa kwa usalama. Sasa wanataka serikali kuwapa bunduki machifu na pia kuwarejeshea silaha Maafisa wa Akiba ili kuwahakikishia usalama wao.