Wakaazi wa Yimbo wahangaika kutafuta maji licha ya kuwa na maji mengi yanayotoka ziwani viktoria

  • | Citizen TV
    317 views

    Eneo la Yimbo katika eneo bunge la Bondo, kaunti ya Siaya limefahamika sana kuwa na maji mengi yanayotoka kwenye ziwa viktoria, mto Yala na hata ziwa Sare. Hata hivyo, kinaya cha eneo hili ni kuwa, wakaazi bado wanahangaika kutafuta maji yaliyo adimu kwa wengi.