Wakaazi waanza maisha upya kwenye nyumba za nafuu

  • | Citizen TV
    2,275 views

    Kuzinduliwa kwa nyumba za serikali za boma yangu katika mtaa wa mukuru hapa Nairobi kumeibua matumaini mapya kwa mamia ya wakaazi walionufaika na nyumba hizo. Kwa baadhi ya wakaazi hawa, sura mpya ya nyumba hizi imetoa taswira tofauti kabisa ya makao yao ya zamani.