Wakaazi wahimizwa kupimwa ugonjwa wa TB kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    91 views

    Ukosefu wa hamasisho miongoni mwa wenyeji wa kaunti ya Garissa umechangia kusambaa kwa ugonjwa wa kifua kikuu hasa katika maeneo ya mashinani.