Wakaazi wajitengenezea barabara eneo la Rianjaga, Kisii

  • | Citizen TV
    971 views

    Wakazi wa kijiji cha Rianjaga maeneo ya Bobasi kaunti ya Kisii wamelalamikia hali mbovu ya barabara kutoka Rianjaga kwenda Omosasa .