Wakaazi wakabialiana na maafisa wa polisi Koyonzo, Kakamega

  • | Citizen TV
    1,511 views

    Shughuli ya kibiashara zilitatizika kwa muda kwenye soko la Koyonzo kaunti ya Kakamega kufuatia makabiliano kati ya maafisa wa polisi na wakaazi. Sababu ya makabiliano haya yakiwa mauaji ya walinzi wawili hapo jana