Wakaazi walalamikia bei mpya ya mafuta

  • | Citizen TV
    1,467 views

    Siku moja baada ya tume ya kudhibiti kawi kutangaza kuongezwa kwa bei ya mafuta nchini, Wakenya wameendelea kulalamikia ongezeko la bei huku baadhi ya wahudumu wa magari ya usafiri wa umma wakitishia kuongeza nauli. Wakenya wakizidi kulalamika kuwa, nyongeza hii ya mara kwa mara inazidi kupandisha gharama ya Maisha.