Wakaazi walalamikia njama ya kuvamia, kunyakuwa ardhi Oldonyonyokie

  • | Citizen TV
    436 views

    Baadhi ya wananchama wa shamba la Oldonyonyokie katika eneo la magadi kaunti ya Kajiado sasa wanatoa wito kwa makachero wa DCI na tume ya kuchunguza ufisadi kuingilia kati na kuchunguza njama ya kunyakuliwa kwa ekari elfu tano za ardhi yao