Wakaazi wamehimizwa kulinda miradi ya serikali

  • | Citizen TV
    40 views

    Wakenya wamehimizwa kukumbatia na kulinda miradi ya maendeleo ya serikali inayotekelezwa katika ngazi ya chini. Wakizungumza katika jukwaa la kuwezesha wanawake na vijana huko Ithanga