Wakaazi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa maji safi eneo la Migori

  • | Citizen TV
    146 views

    Wenyeji katika kaunti ya migori wamekuwa wakikosa maji safi Kwa zaidi ya miezi tatu baada ya mvua ya elnino kuharibu mabomba ya maji katika kaunti hiyo.