Wakaazi wasema huduma za afya katika hospitali ya Bura zimezorota

  • | Citizen TV
    506 views

    Wakaazi wa Bura kaunti ya Tana River waliojawa na ghadhabu wameishurutisha serikali ya kaunti kufunga hospitali ya Bura kwa kukosa kutoa huduma bora.