Wakaazi wataka barabara ya Kericho-Kisumu na ile ya Kericho-Litein uliokwama ukamilishwe

  • | NTV Video
    726 views

    Madereva wa magari, waendeshaji wa bodaboda na wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Kericho-Kisumu wamewasilisha malalamishi kwa wizara ya uchukuzi wakitaka mradi wa makutano ya barabara ya Kericho-Kisumu na ile ya Kericho-Litein uliokwama ukamilishwe kwa haraka.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya