Wakaazi wataka walinda usalama kusaka silaha haramu.

  • | Citizen TV
    196 views

    Viongozi wa Kaunti ya Samburu sasa wanaitaka serikali kuendeleza oparesheni ya kutwaa silaha haramu zinazomilikiwa na wananchi kinyume na sheria ili kuzima mashambulizi ya mara kwa mara ya risasi kaunti hiyo