Wakaazi watoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua Gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    1,730 views

    Vikao vya umma kuhusu mswada wa Kumwondoa ofisini Gavana wa Meru Kawira Mwangaza vinafanyika leo kwenye kaunti ndogo tisa za Meru, ambapo Wananchi wanatarajiwa kutoa maoni yao kuhusu iwapo wanaunga mkono au kupinga hoja iliyo bunge hilo