Wakaazi watoa maoni kwa hoja ya kumbandua Gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    3,385 views

    Vikao vya umma vya kusikiza maoni ya wakazi wa Meru kuhusu mswada wa kumbadua ofisini Gavana Kawira Mwangaza vinaendelea katika Kaunti ndogo tisa za kaunti ya Meru.