Wakaazi wengi wa Garissa wameonekana wakikaidi maagizo ya kujilinda

  • | Citizen TV
    Huku Idadi ya waathiriwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Korona ikiendelea kuongezeka humu nchini,wakazi wengi wa eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi wanaonekana kupuuza tahadhari zinazopendekezwa.