Wakandarasi Kwale watakiwa kufuata mkataba walioafikiana na serikali ya kaunti

  • | Citizen TV
    321 views

    Wanakandarasi wanaopewa kandarasi za ujenzi wa barabara katika kaunti ya Kwale wametakiwa kuhakikisha watakeleza ujenzi huo kwa kufuata mkataba walioafikiana na serikali ya kaunti ya Kwale.