Wakati kampeni zimenza DRC, wananchi wakimbia makazi yao kutokama na mapigano

  • | VOA Swahili
    225 views
    Huku kampeni za uchaguzi zikiwa zimeanza nchini DRC, Mamilioni ya watu wanaendelea kukimbia miji na vijiji kutokana na mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo. Suala kubwa ni je watu hawa watashiriki vipi kwenye uchaguzi mkuu wa nchi? #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.