Wakazi 200 wamefadhiliwa kusomea katika chuo cha kiufundi cha KITI kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    87 views

    Kama njia mojawapo ya kukabili ukosefu wa ajira nchini wakazi zaidi ya 200 katika eneo Bunge la Bumula kwenye Kaunti ya Bungoma wamefadhiliwa kusomea kozi mbalimbali katika chuo cha kiufundi cha KITI mjini humo.