Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Baringo waomba kivukio mto Perkerra ili wanafunzi wafikie shuleni salama

  • | Citizen TV
    986 views
    Duration: 2:53
    Wakazi wanaoishi karibu na mto Perkerra kaunti ya Baringo, wanaililia serikali ya kaunti hiyo kuwajengea kivukio ili wanafunzi waweze kufika shuleni salama haswa wakati wa mvua. Wazazi wanalazimika kuwabeba wana wao mgongoni kuwavusha kwenye eneo la barabara ambalo sasa limefurika kutokana na maji ya mto huo