Wakazi Kariobangi Kusini washtushwa na operesheni ya kufurushwa nyumba zao

  • | NTV Video
    251 views

    Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Uhuru ulioko katika wadi ya Kariobangi Kusini, kaunti ya Nairobi, wameelezea kutoridhishwa kwao na operesheni inayoendeshwa na serikali ya kaunti ya Nairobi ya kuwafurusha kutoka kwenye nyumba wanamoishi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya